Serikali ya Kenya yamkamata Yesu
SERIKALI YA KENYA YAMKAMATA YESU.
Serikali nchini Kenya imemkamata Mchungaji mmoja ambaye alimualika huyo mzungu na kuwadanganya waumini wake kuwa ni Yesu amerudi duniani kama ilivyoandikwa.
Yesu huyu bandia amekuwa akikusanya sadaka za waumini akiwadanganya kuwafanyia miujiza na kwamba waumini waendelee kumpa hela nyingi ili aende mbinguni kuwaandalia makao yao ikiwa pamoja na kununua Sementi, Matofali na Mabati.

Maoni
Chapisha Maoni