Machapisho

vituko vya ulimwengu

Picha
JE#UNAJUA? Kila Tarehe 30 March mamilioni nchini Japan husherekea siku ya UUME, lengo ni kuonyesha umuhimu wa Uume katika Jamii na mapambano dhidi ya magonjwa ya zinaa, Sherehe hizo zinaitwa "Kanamara Matsur"

Afya

Picha
BP MACHINE* 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Tunauza kifaa maalumu kwa ajili ya kupima body pressure,Kifaa hiki kimethibitishwa na shirika la afya duniani *WHO* ni rahisi kutumia unaweka betri tu hata ukiwa peke yako unaweza kutumia haina haja ya kurekodi yenyewe ina memory card maalum yenye uwezo wa kuhifadhi kumbu kumbu kwa mara 200.Wahi offa hii huwezi kupata popote pale. *MATUMIZI* kwa; 1.Medical students, nurse 2. Nyumbani na offisini 3.Wagonjwa Wa pressure (Hypertension) 4.Hospital and dispensary 5.Wagonjwa Wa kiarusi (stroke) Kifaa hiki kitakusaidai kujua afya yako mapema ukiwa nyumbani au office na kutuma taharifa zako kwa Doctor. Presha ya kawaida isiwe zaidi ya 140/90mmlHg. Presha ikiwa haitibiwi huharibu mishipa ya damu katika macho, misuli ya moyo kuwa minene , kusababisha mshutuko wa moyo (heart attack), mshipa ya damu safi kuwa migumu, figo kushindwa kufanya kazi (kidney failure) na kiharusi (stroke). Nunua kifaa hiki ujikinge na madhara yatokanayo na pressure. Bei *Tsh* *83,000...

Karibu katika ukurasa wetu mpya

utakua ukipata simulizi mbali mbali kuhusu maisha, majaabu matukio ya kweli na mambo ya kale