Machapisho

Serikali ya Kenya yamkamata Yesu

Picha
SERIKALI YA KENYA YAMKAMATA YESU. Serikali nchini Kenya imemkamata Mchungaji mmoja ambaye alimualika huyo mzungu na kuwadanganya waumini wake kuwa ni Yesu amerudi duniani kama ilivyoandikwa. Yesu huyu bandia amekuwa akikusanya sadaka za waumini akiwadanganya kuwafanyia miujiza na kwamba waumini waendelee kumpa hela nyingi ili aende mbinguni kuwaandalia makao yao ikiwa pamoja na kununua Sementi, Matofali na Mabati.

ACHOMA NYUMBA YAKE KUPOZA HASIRA

Picha
MAZITO MUME ACHOMA NYUMBA KUPOZA HASIRA! MWANAUME mmoja aliyefamika kwa jina la ‘Mlawa’ mkazi wa Kizani, Gezaulole jijini Dar amedaiwa kuchoma nyumba yake na kupoza hasira alizokuwa nazo. Kwa mujibu wa mashuhuda, jamaa huyo anadaiwa kufanya tukio hilo kutokana na kuwa na ugomvi na mkewe Zubeda Maarufu aliyezaa naye watoto watatu. “Alikuwa na ugomvi na mkewe, aliondoka hapa na kwenda kuishi na mwanamke mwingine sasa ndio hivi juzi tukashangaa amekuja kuchoma nyumba,” alidai shuhuda aliyeomba hifadhi ya jina. mke huyo wa Mlawa, alisema kuwa siku ya tukio yeye na wanawe walikuwa wamehamia kwa jirani yao baada ya mumewe huyo kufanya jaribio la awali la kuchoma moto kisha kushindwa. “Kabla ya tukio hilo alikuja siku ya Jumatano akamwaga petroli huku akidai kuwa anawasha nyumba moto lakini bahati nzuri tuliwahi kumuona na majirani wakanisaidia akaondoka,” alisema mke huyo wa Mlawa na kuongeza:“Siku ya Ijumaa ndipo alipokuja tena mida ya saa tatu usiku mimi nikiwa kwa jirani yangu maan...

Kilichonipata baada ya kumpenda bint ambae alikua mwalimu

Picha
Nilikutana na Binti mmoja ambae alikua mwalimu,tukapendana na kuahidiana kuoana. Basi kwakua yeye alikua akifundisha kijijini na mimi nilikua naishi Dar es Salaam,niliamua kwanza kumuhamisha kutoka huko kijijini kumleta hapa mjini. Nilijibana na visenti vyangu nikaanza harakati za kumuhamisha.    Alipokea kwa furaha sana swala la yeye kuhamia hapa Dar es salaam.mipango ikakamilika akaja Dar es salaam na kuanza majukumu yake ya kujenga taifa la baadae ( Kufundisha)  ajabu ni kwamba binti huyu mwalimu pamoja na elimu yake lakini elimu haikumuinua ila vilikua vyeti tu vya kumpatia kipato lakini sio kumpa maarifa ya maisha.Alibadilika ghafla na kulimbuka na jiji kwa kuparamia vijana waliomrubuni kwa tamaa. Pamoja ya kua nilimpangia nyumba lakini siku moja nikitoka safari hasa ukizingatia kazi zangu ilikua ni kusafiri nje ya Dar es salaam,siku moja niliporudi nilikwenda anapoishi na kumkuta akiwa sebuleni amelewa chakari na kijana mmoja ,mbaya zaidi walifanyia hapo huo uch...

JE UNAZIJUA FAIDA ZA KULA PAMOJA?

Picha
Wataalamu waeleza athari za kula chakula katika sinia moja.7 Mei 2019 Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari Zama za mababu na bibi zetu barani Afrika lilikuwa si jambo geni kwa jamii kula chakula katika sahani moja , mfano ugali ukiisha iva, unabwagwa katika sinia moja, bakuli ya mboga ni moja na tena huwekwa katikati ya ugali huo na familia kulizunguka sinia hilo na kila mmoja kula kwa pamoja. Mlo wa pamoja namna hiyo awali ulitafsiriwa kama njia ya kudumisha umoja, mshikamano na upendo lakini pia kama njia ya kumfundisha mtoto ama hata kumrekebisha mkubwa namna anavyo chota tonge, anavyotafuta ili asije akaiaibisha familia mbele za watu , ingawa kadri mabadiliko ya dunia tunamoishi utamaduni huu unadumishwa na wachache . kama hiyo haitoshi,, ikumbukwe kwamba katika baadhi ya familia hasa katika maeneo ya vijijini bakuli ya kunawia mikono kabla ya kula ilikuwa ni moja tu, na kil...

Mwanamke aitwae Karolina amejifungu bila kujua kama alikua mjamzito

Picha
Mwanamke aitwae Karolina (25) pichani na mumewe na mtoto wao, ambae alikuwa hajui kama ni mjamzito amejifungua Mtoto dakika 20 tu baada ya kupelekwa hospitali na Mume wake akilalamika kusikia maumivu mgongoni, inaelezwa Karolina pamoja na Mume wake wote walikuwa hawajui kama ana ujauzito. #MillardAyoUPDATES

Namjua aliyedukua sauti yangu ;Membe

Picha
Namjua aliyedukua sauti yangu' - Membe   Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Bernard Membe, amesema sauti zilizovuja hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii ikihumusisha yeye akifanya mazungumzo na mtu asiyefahamika wakijadili juu ya sintifahamu ndani ya CCM ni ya kwake. Membe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vyombo habari, ambapo amesema ni kweli sauti iliyodukuliwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii ni ya kwake asilimia 100 huku akiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuingilia kati suala hilo. " Sauti ni za kwangu ni mimi 100 kwa 100, na nimeifanyia kazi na ninajua imetoka wapi kwa sababu nina miiko ya kuuzingatia sisemi ", amesema Membe. " Ni sauti yangu kabisa na ninaelewa kila kilichotokea unaweza kuingia ugonjwa wa udukuzi, kama wale wanaotoa taarifa hizi za udukuzi hawachukuliwi hatua, wadukuzi wako duniani wanataka fedha tu ", amesema Membe.

Maajabu ya Simba

Picha
BWANA SIMBA, THE KING OF JUNGLE! Simba kwa kiingereza anafahamika kama lion na jina lake la kisayansi (scientific name) anafahamika kama panthera leo na koo(Genus) yake ni panthera, hii koo panthera inajumuisha na wanyama wengine ikiwemo tiger wa bara la asia, chui, American jaguar, na mnyama anaefahamika kama puma au mountain lion. Simba yupo kwenye order ya wanyama walaji wa nyama almaarufu carnivore na familly yake inaitwa felidae, hii familly ya felidae inajumuisha paka wote wanaopatikana duniani ikiwemo wanaofugwa manyumbani, paka pori, simba, chui, tiger, jaguar na wengineo jamii ya paka ikiwemo cheetah (Duma). Simba ndiye paka mkubwa Africa na anashika namba mbili duniani baada ya tiger ambaye anapatikana barani Asia pekee dunia nzima na simba pekee ambaye huishi katika makundi miongoni mwa wanyama jamii ya paka na kundi lao linaitwa (pride) pia simba ni wanyama wanaopendelea kuishi maeneo wazi yenye nyasi(Open area) kama ngorongoro crater na Serengeti national...