Mwanamke aitwae Karolina amejifungu bila kujua kama alikua mjamzito

Mwanamke aitwae Karolina (25) pichani na mumewe na mtoto wao,
ambae alikuwa hajui kama ni mjamzito amejifungua Mtoto dakika 20 tu baada ya kupelekwa hospitali na Mume wake akilalamika kusikia maumivu mgongoni, inaelezwa Karolina pamoja na Mume wake wote walikuwa hawajui kama ana ujauzito.#MillardAyoUPDATES

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

JE UNAZIJUA FAIDA ZA KULA PAMOJA?

Kilichonipata baada ya kumpenda bint ambae alikua mwalimu

Serikali ya Kenya yamkamata Yesu